uongozi


UONGOZI WA USHARIKA

 1. MCHUNGAJI KIONGOZI: GODLISTEN SEBASTIAN NKYA
 2. MWINJILISTI: LEONARD PAULO
 3. PARISHWORKER: ANNA MBAGA
 4. MHASIBU: ROSE MAULA

WATUMISHI WA USHARIKA

 1. MRATIBU WA ELIMU YA KIKRISTO: EV STELLAH MHOMBO
 2. MWALIMU SHULE YA USHONAJI: MRS VERONICA MGANA

WAHUDUMU/USAFI

 1. FIDEA NG’UMBI
 2. EDWARD KIBWANA

WALINZI

 1. SIMON TWEVE
 2. NIKO MSUNGU
 3. LAMECK LUTUMO

MTAA WA KINZUDI

 1. MWINJILISTI:   VISENT MBWAMBO

Watumishi waliopita katika Usharika wetu ni pamoja na;

 1. Mchungaji Halfmani
 2. Mchungaji Milanzi
 3. Mchungaji Deke
 4. Mchungaji  Mwamakula
 5. Mchungaji Kuta
 6. Mchungaji Kitale
 7. Mchungaji Mughumba
 8. Mchungaji Mwakabonga
 9. Mchungaji Mgaya
 10. Mchungaji Kibwana
 11. Mchungaji Pawa
 12. Mchungaji Ntele
 13. Mchungaji Kyaka
 14. Mchungaji Sozigwa
 15. Mchungaji Maarifa
 16. Mchungaji Muro
 17. Mchungaji Lwiza
 18. Mchungaji Nkya
 • Kanisa la kwanza lilijengwa na mchungaji Deke
 • Mchungaji Mwakabonga alipanua Pembeni pia alianzisha miradi ya Chekechea, Ushonaji, Mashine ya kusaga,  uamusho (fellowship) pamoja na Ujenzi wa jingo la utawala
 • Mchungaji Kibwana alipanua Madhabahu
 • Mchungaji pawa alijenga ukuta wa uzio
 • Mchungaji Ntele aliweka marumaru madhabahuni
 • Mchungaji Kyaka, aliweka Terezo pamoja na nyumba ya Mtumishi Kisarawe Junior Seminari
 • Mchungaji Muro alitengeneza na kukarabati ofisi  na kuwa ya kisasa.
 • Mchungaji Nkya amejenga Kanisa Jipya, zuri na kubwa kazi ambayo ilishindikana kuanza kwa muda mrefu uliopita.

Makatibu waliohudumu hapa Kanisani ni pamoja na:

 1. E. Molleli – aliyekuwa katibu mkuu wa Rais
 2. Marehemu Mzee J. Msangi
 3. Marehemu Mile
 4. Mzee Manga
 5. Mzee Mfuru
 6. Marehemu  Moshi
 7. Mwanga A
 8. Mzee Kawa
 9. Mzee Kawa
 10. Mzee  Lyamba
 11. Mzee Dr. Urassa

Wainjilisti waliohudumu tangu kuanzishwa kwa Kanisa

 1. Benjamini Shoo
 2. Senzighe
 3. Mfinanga
 4. Dilunga
 5. Sam
 6. Joshua Jaha
 7. Itonye
 8. Mgaya
 9. Elinsa Rafael
 10. Nzota
 11. Twilumba Mkumbo (Mrs)
 12. Giyo

Parishworkers

 1. Christine
 2. Msuya Hulda.
 3. Fridah Moshi
 4. Emma Sam
 5. Stella Philemon
 6. Eshimendi Uronu
 7. Janeth Mkumbi
 8. P/w Anna Mmbaga