Karibu Usharika Wa Ubungo


Kanisa la Usharika wa Ubungo limejengwa kando ya barabara kuu ya Morogoro karibu na kituo kikuu cha mabasi yaendayo mikoani na nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA na limepakana na jengo la RUBADA.

Usharika wa Ubungo una umri unaozidi miaka 38 hivyo na ni moja ya Sharika kongwe katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Usharika huu ulianza kama mtaa wa usharika wa Magomeni mwaka 1969 ukiwa na idadi ya Washarika takriban 10.

Usharika wa Ubungo kwa sasa ni moja ya Sharika kongwe katika Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Usharika huu ulianza kama mtaa wa usharika wa Magomeni mwaka 1969 ukiwa na idadi ya Washarika takriban 10
Mnara wa Maadhimisho ya miaka 500 ya Matengenezeo ya kanisa umezinduliwa na Baba Askofu Dr. Alex Gehazi Malasusa tarehe 29/10/2017
Kanuni ya Mungu ni kupokea baada ya kutoa (kupanda na kuvuna). Kuna nyakati tunapanda lakini hatuvuni, Tunatoa lakini hatupokei. Katika hali kama hiyo, tatizo si Mungu, maana “Mungu, si mwanadamu hata aseme uongo” Hesabu 23:19. Bali ni sisi wapandaji.

Kazi za ubunifu katika jamii yetu