Category: Habari
IBADA YA SHUKRANI YA MWAKA MPYA TAREHE:12-01-2020
Posted in Habari on Jan 01, 2020
IBADA YA SHUKRANI YA MWAKA MPYA
Mchungaji kiongozi KKKT Usharika wa UBUNGO anawakaribisha wote katika ibada hii.
Soma Zaidi ...MAHUBIRI YA TAREHE 21-01-2018 KKKT UBUNGO
Posted in Habari, Mahubiri on Jan 21, 2018
SI KILA MLANGO UNAO UONA UMEFUNGWA, NI KWELI UMEFUNGWA.
Tusome Luka 5: 1-11 Kwa kawaida ya kazi ya uvuvi hufanywa usiku. Na Simoni alijua hilo, baada ya Yesu kumwambia ashushe nyavu Simoni alisema kwa "Neno lako tutashusha" Na tunasoma muujiza waliokutana nao baada ya kutii neno la Kristo. Unapokuwa umekata tamaa na jambo lolote na Mungu akakupa maelekezo ya kufanya jambo hilohilo ambalo wewe unaona hakuna namna Jifunze "kutii neno la Kristo"
Leo hii Yesu anakuambia "Tweka mpaka kilindini ukashushe nyavu zako"
Ile biashara uliyofunga nenda kaifungue, kama ulikata tamaa kusoma kwasababu ulifeli...
Soma Zaidi ...UZINDUZI WA KANISA KKKT UBUNGO TAREHE 29-10-2017
Posted in Habari, Matukio, Uncategorized on May 01, 2017
Karibuni sana tuwe pamoja katika ibada ya ufunguzi wa jengo la ibada na maadhimisho ya miaka 500 ya matengenezo ya kanisa hapa KKKT Ubungo ibada ikiongozwa na Baba Askofu Alex G. Malasusa. Mungu wangu na awabariki
Soma Zaidi ...MAHUBILI YA JUMAPILI TAREHE 30-04-2017
Posted in Habari, Mahubiri, Uncategorized on May 01, 2017
Mhubili ni Mwinjilisti Godson Mshana ,Kutoka Pugu New Land
Neno KUU:Yesu Kristo ni Mchungaji Mwena
Mistali ya kusimamia ni 1:Zaburi ya 23 2:Yohana 10:1-6 3:Ezekieli 34:11-16 4:Yeremia 33:1-
Kupitia mistali tajwa hapo juu tunajifunza mambo tofauti tofauti kwa maisha yetu kama wakristo ambao tumaini letu ni kwa bwana Yesu
i)Tunatakiwa kumtumaini Bwana Yesu na kumtegemea kama mchungaji wetu Mkuu kama alivyomwambia Yeremia
ii)Tunatakiwa kumtumaini Yesu katika changamoto tunazopitia katika maisha yetu ya kila siku,tumaini letu linatakiwa kubaki kwa Yesu tu
Yeremia japokuwa alikuwa amefungwa lakini ...
Soma Zaidi ...SEMINA YA NENO LA MUNGU NA Mwl:Grace Kisuu Kuanzia 02-04-2017 hadi 09-04-2017
Posted in Habari, Matukio on Apr 02, 2017
SEMINA YA NENO LA MUNGU NA Mwl:Grace Kisuu 02-04-2017 hadi 09-04-2017 Ofisi ya Mchungaji inapenda kuwakaribisha wakristo wote kwenye semina ya neno la Mungu itakayoanza Jumapili ya tarehe 02-04-2017 hadi 09-04-2017 hapa hapa Ubungo KKKT.Pia kutakuwa na hudauma ya maombi na maombezi kila siku kwa wenye shida yatakuwepo
NENO KUU:MANENO YA KINYWA CHAKO YANAWEZA KUWA SILAHA KWENYE MAISHA YAKO
Muda:Kuanzia saa 10 jioni mpaka 12:30 jioni kila siku
Watu wote mnakalibishwa...Mungu na
Soma Zaidi ...MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU
Posted in Habari on Oct 07, 2016
MAHUBIRI JUMAPILI, 02-10-2016, MCHG G . NKYA
Posted in Habari on Oct 05, 2016
MAHUBIRI 04/09/2016, BY MCHG G. NKYA
Posted in Habari, Mahubiri on Sep 09, 2016
MAHUBIRI JUMAPILI, 11-09-2016, BY MCHG G . NKYA
Posted in Habari, Mahubiri on Sep 04, 2016
