Category: matukio

UZINDUZI WA KANISA KKKT UBUNGO TAREHE 29-10-2017

Posted in Habari, Matukio, Uncategorized on May 01, 2017

Karibuni sana tuwe pamoja katika ibada ya ufunguzi wa jengo la ibada na maadhimisho ya miaka 500 ya matengenezo ya kanisa hapa KKKT Ubungo ibada ikiongozwa na Baba Askofu Alex G. Malasusa. Mungu wangu na awabariki
Soma Zaidi ...

SEMINA YA NENO LA MUNGU NA Mwl:Grace Kisuu Kuanzia 02-04-2017 hadi 09-04-2017

Posted in Habari, Matukio on Apr 02, 2017

SEMINA YA NENO LA MUNGU NA Mwl:Grace Kisuu 02-04-2017 hadi 09-04-2017 Ofisi ya Mchungaji inapenda kuwakaribisha wakristo wote kwenye semina ya neno la Mungu itakayoanza Jumapili ya tarehe 02-04-2017 hadi 09-04-2017 hapa hapa Ubungo KKKT.Pia kutakuwa na hudauma ya maombi na maombezi kila siku kwa wenye shida yatakuwepo

NENO KUU:MANENO YA KINYWA CHAKO YANAWEZA KUWA SILAHA KWENYE MAISHA YAKO

Muda:Kuanzia saa 10 jioni mpaka 12:30 jioni kila siku

Watu wote mnakalibishwa...Mungu na
Soma Zaidi ...

ADAM HAJJ- PART 2 KUFUNGULIWA

Posted in Matukio on Nov 17, 2016

Soma Zaidi ...

ADAM HAJJ PART 3 KUFUNGULIWA

Posted in Matukio on Nov 17, 2016

Soma Zaidi ...

KUSIMIKWA NA KUAGWA KWA WAZEE WA KANISA 07 Dec, 2014

Posted in Matukio on Nov 17, 2016

Wazee wa kanisa walisimikwa katika kutumikia uzee wa kanisa kwa kipindi cha miaka minne kuanzia 2014-2018. Soma Zaidi ...

MKUTANO MKUU KWA MARA YA KWANZA KISARAWE SEMINARI

Posted in Matukio on Nov 17, 2016

Mkutano mkuu wafanyika kwa mara ya kwanza katika Seminari ya Kisarawe tarehe 29 Nov – 03 Dec, 2014. Soma Zaidi ...

MAOMBI YA KILA SIKU (MORNING GLORY)

Posted in Matukio on Nov 17, 2016

Tunawakaribisha washarika wote katika maombi ya asubuhi inayofanyika hapa usharikani kwanzia saa 12:30 asubuhi. Soma Zaidi ...