Category: habari

MAHUBIRI YA TAREHE 21-01-2018 KKKT UBUNGO

Posted in Habari, Mahubiri on Jan 21, 2018

SI KILA MLANGO UNAO UONA UMEFUNGWA, NI KWELI UMEFUNGWA.

Tusome Luka 5: 1-11 Kwa kawaida ya kazi ya uvuvi hufanywa usiku. Na Simoni alijua hilo, baada ya Yesu kumwambia ashushe nyavu Simoni alisema kwa "Neno lako tutashusha" Na tunasoma muujiza waliokutana nao baada ya kutii neno la Kristo. Unapokuwa umekata tamaa na jambo lolote na Mungu akakupa maelekezo ya kufanya jambo hilohilo ambalo wewe unaona hakuna namna Jifunze "kutii neno la Kristo"

Leo hii Yesu anakuambia "Tweka mpaka kilindini ukashushe nyavu zako"

Ile biashara uliyofunga nenda kaifungue, kama ulikata tamaa kusoma kwasababu ulifeli...
Soma Zaidi ...

UZINDUZI WA KANISA KKKT UBUNGO TAREHE 29-10-2017

Posted in Habari, Matukio, Uncategorized on May 01, 2017

Karibuni sana tuwe pamoja katika ibada ya ufunguzi wa jengo la ibada na maadhimisho ya miaka 500 ya matengenezo ya kanisa hapa KKKT Ubungo ibada ikiongozwa na Baba Askofu Alex G. Malasusa. Mungu wangu na awabariki
Soma Zaidi ...

MAHUBILI YA JUMAPILI TAREHE 30-04-2017

Posted in Habari, Mahubiri, Uncategorized on May 01, 2017

Mhubili ni Mwinjilisti Godson Mshana ,Kutoka Pugu New Land

Neno KUU:Yesu Kristo ni Mchungaji Mwena

Mistali ya kusimamia ni 1:Zaburi ya 23 2:Yohana 10:1-6 3:Ezekieli 34:11-16 4:Yeremia 33:1-

Kupitia mistali tajwa hapo juu tunajifunza mambo tofauti tofauti kwa maisha yetu kama wakristo ambao tumaini letu ni kwa bwana Yesu

i)Tunatakiwa kumtumaini Bwana Yesu na kumtegemea kama mchungaji wetu Mkuu kama alivyomwambia Yeremia

ii)Tunatakiwa kumtumaini Yesu katika changamoto tunazopitia katika maisha yetu ya kila siku,tumaini letu linatakiwa kubaki kwa Yesu tu

Yeremia japokuwa alikuwa amefungwa lakini ...
Soma Zaidi ...

SEMINA YA NENO LA MUNGU NA Mwl:Grace Kisuu Kuanzia 02-04-2017 hadi 09-04-2017

Posted in Habari, Matukio on Apr 02, 2017

SEMINA YA NENO LA MUNGU NA Mwl:Grace Kisuu 02-04-2017 hadi 09-04-2017 Ofisi ya Mchungaji inapenda kuwakaribisha wakristo wote kwenye semina ya neno la Mungu itakayoanza Jumapili ya tarehe 02-04-2017 hadi 09-04-2017 hapa hapa Ubungo KKKT.Pia kutakuwa na hudauma ya maombi na maombezi kila siku kwa wenye shida yatakuwepo

NENO KUU:MANENO YA KINYWA CHAKO YANAWEZA KUWA SILAHA KWENYE MAISHA YAKO

Muda:Kuanzia saa 10 jioni mpaka 12:30 jioni kila siku

Watu wote mnakalibishwa...Mungu na
Soma Zaidi ...

MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU

Posted in Habari on Oct 07, 2016

Tunawakaribisha kwenye mkesha wa kusifu na kuabudu utakao fanyika Leo Tarehe 30.Sept.2016 kuanzia saa 3 kamili usiku hapa kanisani Ubungo KKKT. Soma Zaidi ...

MAHUBIRI JUMAPILI, 02-10-2016, MCHG G . NKYA

Posted in Habari on Oct 04, 2016

Bwana wetu Yesu Kristo apewe sifa Tunaendelea kuwakaribisha watu wote wa mataifa yote,Dini zote na kabila zote katika ibada za kila jumapili hapa Kanisani Usharikani KKKT Ubungo Soma Zaidi ...

MAHUBIRI 04/09/2016, BY MCHG G. NKYA

Posted in Habari, Mahubiri on Sep 09, 2016

Katika wakati mgumu, huzuni, shida, Yesu hutokea na kusimama katikati. Soma Zaidi ...

MAHUBIRI JUMAPILI, 11-09-2016, BY MCHG G . NKYA

Posted in Habari, Mahubiri on Sep 04, 2016

Bwana wetu Yesu Kristo apewe sifa Tunaendelea kuwakaribisha watu wote wa mataifa yote,Dini zote na kabila zote katika ibada za kila jumapili hapa Kanisani Usharikani KKKT Ubungo Soma Zaidi ...