MKESHA WA KUSIFU NA KUABUDU

Posted in Habari on Oct 07, 2016


Bwana Yesu asifiwe Amani iwe kwenu, Tunawakaribisha kwenye mkesha wa kusifu na kuabudu utakao fanyika Leo Tarehe 30.Sept.2016 kuanzia saa 3 kamili usiku hapa kanisani Ubungo KKKT. Kwaya zote na vikundi vyote vya kusifu na kuabudu vitakuwepo kuhudumu. Maombi na maombezi yatafanyika. Mkaribishe na rafiki yako. Ubarikiwe