MAHUBIRI JUMAPILI, 11-09-2016, BY MCHG G . NKYA

Posted in Habari, Mahubiri on Sep 04, 2016


Bwana wetu Yesu Kristo apewe sifa

Tunaendelea kuwakaribisha watu wote wa mataifa yote,Dini zote na kabila zote katika ibada za kila jumapili hapa Kanisani Usharikani KKKT Ubungo

Pia endelea kubalikiwa na mahubili ya kila jumapili kupitia website hii,Hapa chini ni summary ya mahubili ya jumapili ya tarehe 11.09.2016

Pamoja na dhambi kuzidi duniani; Bado Mungu wetu anatuhurumia. Huruma ya Mungu pekee ndio inaweza kubadili hali unayopitia sasa na kugeuza huzuni yako kuwa furaha. Mpe Yesu nafasi katika moyo wako na atabadilisha maisha yako kabisa. Maombolezo 3: 31-33.

Mungu wa Yahobo na akubariki