MKUTANO MKUU KWA MARA YA KWANZA KISARAWE SEMINARI
Posted in Matukio on Nov 18, 2016
Mkutano mkuu wafanyika kwa mara ya kwanza katika Seminari ya Kisarawe tarehe 29 Nov – 03 Dec, 2014.
Mkutano ulihusiha wachungaji wote wa dayosisi, Halmashauri kuu, wajumbe toka sharika zote za Dayosisi ya Mashariki na Pwani.
Pamoja na mambo mbalimbali yaliyokuwepo pia palikuwepo na chaguzi mbalimbali pamoja na kumthibitisha msaidizi mpya wa Askofu na katika uthibitisho huo mkutano ulimthibitisha Mch. Chedieli Lwiza rasmi kuwa msaidizi wa Askofu kwa miaka minne (4) ijayo. Kabla ya hapo Mch. Chadieli Lwiza alikuwa mkuu wa jimbo la kati na Mch. Kiongozi wa Usharika wa Ukonga