KUSIMIKWA NA KUAGWA KWA WAZEE WA KANISA 07 Dec, 2014

Posted in Matukio on Nov 17, 2016


Wazee wa kanisa walisimikwa katika kutumikia uzee wa kanisa kwa kipindi cha miaka minne kuanzia 2014-2018.

Na tendo hilo liliambatana na kuwaaga wazee wa kanisa waliomaliza muda wao wa kutumika katika uzee wa kanisa.