Maono na Malengo
NJOZI, UTUME NA TUNU ZA USHARIKA WA UBUNGO
1.1 Njozi
Kuwa Kituo Kikubwa cha Maombi, Maombezi na Kulea Kiroho kwenye Dayosisi ya Mashariki na Pwani .
1.2 Utume
Kuhakikisha kuwa injili inakidhi mahitaji ya watu kimwili na kiroho.
1.3 Tunu
- Kuimarisha umoja, amani, mshikamano na upendo
- Kuishi kwa amani na utulivu
- Uadilifu na uaminifu
- Uwajibikaji katika kazi zetu
- Ufanisi wa matendo
- Utakatifu
- Ukomavu wa uwakilishi kidemokrasia