Category: uncategorized


UZINDUZI WA KANISA KKKT UBUNGO TAREHE 29-10-2017

Posted in Habari, Matukio, Uncategorized on May 01, 2017

Karibuni sana tuwe pamoja katika ibada ya ufunguzi wa jengo la ibada na maadhimisho ya miaka 500 ya matengenezo ya kanisa hapa KKKT Ubungo ibada ikiongozwa na Baba Askofu Alex G. Malasusa. Mungu wangu na awabariki

Soma Zaidi ...

MAHUBILI YA JUMAPILI TAREHE 30-04-2017

Posted in Habari, Mahubiri, Uncategorized on May 01, 2017

Mhubili ni Mwinjilisti Godson Mshana ,Kutoka Pugu New Land

Neno KUU:Yesu Kristo ni Mchungaji Mwena

Mistali ya kusimamia ni 1:Zaburi ya 23 2:Yohana 10:1-6 3:Ezekieli 34:11-16 4:Yeremia 33:1-

Kupitia mistali tajwa hapo juu tunajifunza mambo tofauti tofauti kwa maisha yetu kama wakristo ambao tumaini letu ni kwa bwana Yesu

i)Tunatakiwa kumtumaini Bwana Yesu na kumtegemea kama mchungaji wetu Mkuu kama alivyomwambia Yeremia

ii)Tunatakiwa kumtumaini Yesu katika changamoto tunazopitia katika maisha yetu ya kila siku,tumaini letu linatakiwa kubaki kwa Yesu tu

Yeremia japokuwa alikuwa amefungwa lakini ...

Soma Zaidi ...