uongozi


UONGOZI WA USHARIKA

  1. MCHUNGAJI KIONGOZI: OSCAR EMMANUEL MLYUKA
  2. MWINJILISTI: EVA MORETO
  3. PARISHWORKER: EMMA MBUYA
  4. MHASIBU: UPENDO SHEMNDOTWA

WATUMISHI WA USHARIKA

  1. MRATIBU WA ELIMU YA KIKRISTO: EV. EVA MOTETO
  2. MWALIMU SHULE YA USHONAJI: MRS VERONICA MGANA

WAHUDUMU/USAFI

  1. FIDEA NG’UMBI
  2. EDWARD KIBWANA

WALINZI

  1. ELIYA
  2. JOSHUA
  3. NIKO MSUNGU
  4. LAMECK LUTUMO

USHARIKA WA KWIRIRI

  1. MCHUNGAJI KIONGOZI: ASAJILE MANOT
  2. MWINJILISTI: 
  3. PARISHWORKER: JANETH MSAKI
  4. MHASIBU: UPENDO SHEMNDOTWA

MTAA WA MAPINGA

  1. MCHUNGAJI KIONGOZI: OSCAR EMMANUEL MLYUKA
  2. MWINJILISTI: SARAH KIVUYO
  3. PARISHWORKER: 
  4. MHASIBU: 

MTAA WA KINZUDI

  1. MCHUNGAJI KIONGOZI: LEMA
  2. MWINJILISTI: GODFREY MUHINA
  3. PARISHWORKER: 
  4. MHASIBU:  

Watumishi waliopita katika Usharika wetu ni pamoja na;

  1. Mchungaji Halfmani
  2. Mchungaji Milanzi
  3. Mchungaji Deke
  4. Mchungaji  Mwamakula
  5. Mchungaji Kuta
  6. Mchungaji Kitale
  7. Mchungaji Mughumba
  8. Mchungaji Mwakabonga
  9. Mchungaji Mgaya
  10. Mchungaji Kibwana
  11. Mchungaji Pawa
  12. Mchungaji Ntele
  13. Mchungaji Kyaka
  14. Mchungaji Sozigwa
  15. Mchungaji Maarifa
  16. Mchungaji Muro
  17. Mchungaji Lwiza
  18. Mchungaji Nkya
  19. Mchungaji Oscar
  • Kanisa la kwanza lilijengwa na mchungaji Deke
  • Mchungaji Mwakabonga alipanua Pembeni pia alianzisha miradi ya Chekechea, Ushonaji, Mashine ya kusaga,  uamusho (fellowship) pamoja na Ujenzi wa jingo la utawala
  • Mchungaji Kibwana alipanua Madhabahu
  • Mchungaji pawa alijenga ukuta wa uzio
  • Mchungaji Ntele aliweka marumaru madhabahuni
  • Mchungaji Kyaka, aliweka Terezo pamoja na nyumba ya Mtumishi Kisarawe Junior Seminari
  • Mchungaji Muro alitengeneza na kukarabati ofisi  na kuwa ya kisasa.
  • Mchungaji Nkya amejenga Kanisa Jipya, zuri na kubwa kazi ambayo ilishindikana kuanza kwa muda mrefu uliopita.

Makatibu waliohudumu hapa Kanisani ni pamoja na:

  1. E. Molleli – aliyekuwa katibu mkuu wa Rais
  2. Marehemu Mzee J. Msangi
  3. Marehemu Mile
  4. Mzee Manga
  5. Mzee Mfuru
  6. Marehemu  Moshi
  7. Mwanga A
  8. Mzee Kawa
  9. Mzee Kawa
  10. Mzee  Lyamba
  11. Mzee Dr. Urassa

Wainjilisti waliohudumu tangu kuanzishwa kwa Kanisa

  1. Benjamini Shoo
  2. Senzighe
  3. Mfinanga
  4. Dilunga
  5. Sam
  6. Joshua Jaha
  7. Itonye
  8. Mgaya
  9. Elinsa Rafael
  10. Nzota
  11. Twilumba Mkumbo (Mrs)
  12. Giyo
  13. Magowi
  14. Mwakalobo
  15. Tumaini Ayo

Parishworkers

  1. Christine
  2. Msuya Hulda.
  3. Fridah Moshi
  4. Emma Sam
  5. Stella Philemon
  6. Eshimendi Uronu
  7. Janeth Mkumbi
  8. P/w Anna Mmbaga